2016-02-20

Wanafunzi na walimu wakiwa wenye nyuso za furaha baada ya kuwa wa kwanza kitaifa matokeo ya kidato cha nne.

View attachment 227684

View attachment 227685

View attachment 227686

View attachment 227687

Updates

Shule ya Kaizirege imeongoza kitaifa kwenye matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2015. Shule hii wanafunzi wote 73 waliofanya mtihani wa kidato cha nne wamepata daraja la kwanza huku wa mwisho akiwa na ufahulu wa wastani wa 93 ambayo ni A. Hii ni mara...

Walimu na wanafunzi wa Kaizirege wakifurahia kuwa wa kwanza matokeo kidato cha nne

Show more